Mnaouliza namba sita (6) ana magoli mangapi, msijisahaulishe kuwa Chama analingana magoli na beki kitasa Mwamnyeto

Haya jumlisha na kombe la maloose...Shirikisho halafu lete
Lakini watu wa SIMBA mbona hamtupi heshima yetu wanayanga?
ujue sisi ni timu pekee toka TZ kufika final CAF shirikisho.
Kwa nini msiheshimu scouting yetu?
 
So 2023/2024 yupo Yanga 2024/2025 atakuwa Wapi?

South Africa Kwasababu ya Sheria Zao wanasajiri wachezaji wachache sana kutoka Nje ya Nchi. Hivyo kama Wewe Ni Mchezaji Mzuri na ni Mzawa Scout Za South Afrika Haziwezi kukuacha Uondoke Nchi Kwao Utadakwa na Timu zao Faster….. Angalia Chivara ilivyokuwa.

Sasa Huyu ni Mchezaji Machachari lakini sio Hatari, Na Aina hiyo ya uchezaji Imeshapitwa na Wakati watu sahizi wanataka Moja Mbili Tatu toa Assist
 
Rage anawajua kuliko tuwajuavyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…