Mnaouliza namba sita (6) ana magoli mangapi, msijisahaulishe kuwa Chama analingana magoli na beki kitasa Mwamnyeto

Mnaouliza namba sita (6) ana magoli mangapi, msijisahaulishe kuwa Chama analingana magoli na beki kitasa Mwamnyeto

Lakini chama hajaissidia timu ya Simba kushuka bridge. Mnamwita bonge la mchezaji ilhal timu aliyokuwa akiitumikia imeshuka daraja!!

Kweli kasoro Mzee kikwete na mzee Manala
Unataka kusema CHIVAVIRO ni sawa na John Bocco kwa kua boco kacheza michuano ya klabu bingwa Africa??

Unataka kusema SADIO KANUTI ni Bora kuliko akaminko kwa kua sadio kanuti kacheza michuano ya klabu bingwa Africa??

Unataka kusema ambundo ni Bora kuliko kipre junior kwa kua ana medali ya kombe la shirikisho Africa???

Fikili Mara mbili kabla hujatoa hoja yako.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
SKUDU KASIFLAVE

NAME:mahlatsi makudubele.

BORN:march 10 /1990(33)

POSITION:left winger

SKILLS: FIVE STAR

FORMER CLUB:

[emoji91]mamelord sundown (starting)[emoji1221]
🟡United fc 12/13[emoji1221]
🟡platnum stars 13/14[emoji1221]
🟡Golden arrows 15/16[emoji1221]
🟡platnum stars 15/16[emoji1221]
🟡orlando pirate 16/17[emoji1221]
🟡chippa united 17/18[emoji1221]
🟡orlando united 17/18[emoji1221]
🟡highlands parks 18/19 [emoji1221]
🟡U.pretoria 20/21[emoji1221]
🟡marumo gallant 22/23[emoji1221]
[emoji91]Yanga Sc 23/24

View attachment 2692800
Scars msaidie kuweka zile takwimu huyu Utopolo maana naona ameorodhesha tu timu
 
SKUDO AKIWA MALUMO GALLATS ILIYOSHUKA DARAJA.

Mechi alizocheza. 22.

Dakika. 1103

MAGOLi 0 2

Assist. 0 2.

MIAKA 3 3

YANGA WANAZIDI KUBOMOKA MASIKINI.
HII SI ⁶ TULIYOITEGEMEA
 
Akija na hizo takwimu asisahau kuja na takwimu za John Bocco na saidooo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Suala hapa ni Skudu hao wengine wanaingiaje..unavyomuelezea mchezaji wa mpira huorodheshi tu timu alizocheza..unatakiwa kuweka na matokeo ya utendaji kazi wake..kama kiungo weka namba ya assist..kama mfungaji weka namba ya Magoli.
Kwani mlivyoweka takwimu ya Che Fondoh kwamba alifungisha magoli 15 huko alikotoka mlikuwa mnamaanisha nini?
 
Wanaoubeza usajili wa yanga wakae na usajili wao halafu tukutane mwisho wa msimu
 
Suala hapa ni Skudu hao wengine wanaingiaje..unavyomuelezea mchezaji wa mpira huorodheshi tu timu alizocheza..unatakiwa kuweka na matokeo ya utendaji kazi wake..kama kiungo weka namba ya assist..kama mfungaji weka namba ya Magoli.
Kwani mlivyoweka takwimu ya Che Fondoh kwamba alifungisha magoli 15 huko alikotoka mlikuwa mnamaanisha nini?
Mbona unakua mgumu kunieleza umri wa saidoooo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wote tunajua Chama hapendi kufunga, ana interview yake alipewa option 2 achague interest yake.

First priority ilikuwa assist
Hakuna mchezaji asiyependa kufunga wewe

Acha kudanganya watu aisee

Ndiyo maana mashabiki wa Simba mnaitwa mbumbumbu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom