NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #21
Unataka kusema CHIVAVIRO ni sawa na John Bocco kwa kua boco kacheza michuano ya klabu bingwa Africa??Lakini chama hajaissidia timu ya Simba kushuka bridge. Mnamwita bonge la mchezaji ilhal timu aliyokuwa akiitumikia imeshuka daraja!!
Kweli kasoro Mzee kikwete na mzee Manala
Unataka kusema SADIO KANUTI ni Bora kuliko akaminko kwa kua sadio kanuti kacheza michuano ya klabu bingwa Africa??
Unataka kusema ambundo ni Bora kuliko kipre junior kwa kua ana medali ya kombe la shirikisho Africa???
Fikili Mara mbili kabla hujatoa hoja yako.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app