GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Kwa kujiamini kabisa nasema kuwa Dawa zenu za Nguvu za Kiume zinachangia au zina ukweli wa 5% tu pekee ila ukweli kamili juu ta tatizo kubwa la sasa la Nguvu za Kiume kwa Wanaume wengi ni Uchumi kuwa mgumu huku Wanaume hao hao wenye hilo tatizo wakiwa tena wana Lundo la Mahawara achilia mbali Wake / Wachumba zao.
Kisayansi Saikolojia namba moja ya Mwanaume kuwa na uwezo wa kufanya tendo kadri atakavyo ni uhakika wa Uchumi endelevu katika Maisha yake ya kila Siku.
Wewe huyo huyo Ajira yako si ya uhakika, unalipwa hadi Bosi wako akunwe vizuri na Mkewe Nyumbani Kwake
Kodi ya Nyumba inakutesa, Wazazi na Nduguzo Simu zao kwa Shida Kwako haziishi, Mahawara zako Watatu wana Mimba, Simu yako nzuri Kioo kimeweka Crack hivyo hata huwezi nawe kuipeleka kwa Fundi kuitengeneza ili uweze kuona Umbea wa Mitandaoni
Na kula yako ni ya Mfumo wa Mpira tunaouita kutoka kwa Kipa hadi kwa Fowadi (nikimaanisha unakunywa tu Kifungua kinywa na unakula Usiku ila Mchana unapita nao kavu kavu), hivi unategemea kweli hata utaweza kufanya tendo vizuri
Tafuteni hela