Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
- Thread starter
-
- #301
Vinaficha nini hivyo vivulana?Ndo shida ya kutoka na vivulana
VipeleVinaficha nini hivyo vivulana?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahaaaa kuna mmoja alijifungia bafuni na komeo kabisa
Nikabaki heee hivi kuna kitu hapa!!!?
Seriously nilishangazwa
Baadae ikaweje? Just curiousHahahaaaa kuna mmoja alijifungia bafuni na komeo kabisa
Nikabaki heee hivi kuna kitu hapa!!!?
Seriously nilishangazwa
................
Nani kaupekenyua huu uzi
Mkuu umeua hapo kwenye kama za nyau.. Nmecheka sana