Mnaovulia nguo ndani ya shuka, eti huwa mnaficha nini???

Mnaovulia nguo ndani ya shuka, eti huwa mnaficha nini???

Hahahaaaa kuna mmoja alijifungia bafuni na komeo kabisa

Nikabaki heee hivi kuna kitu hapa!!!?

Seriously nilishangazwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimetamani kusema jambo ila basi tu ngoja, kuna vioja jamani acha tu!
 
Kuna mmoja anachekesha eti anakuambia tuzime taa halafu huko huko ndio anavua nakufanya yake kisha anawahi taulo anaenda bafuni.
Kuoga
 
Back
Top Bottom