Mnaovulia nguo ndani ya shuka, eti huwa mnaficha nini???

mh!
haya ndo kama yale ya mabinti kugoma kuvua mpk taa izimwe..
 
S
Shemela umetishaaa... Sema nini, yeyote anayevulia shukani, au anakusanya zote... MATOBO KWENYE KYUPI LAZIMA YANAHUSIKA
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 kauka NIKUVAE.

Sasa chupi yenye matobo mtu unavaaje jaman khaaaaaa........chupi zinauzwa buku buku mpaka ivaliwe ilotoboka kweli????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usikubali avulie ndani ya shuka, unaweza ukagegedwa na dushe lenye vipele au makovu. Mie sikubali kumgegeda mwanamke kabla sijamuangalia kabisa uchi wake, yaani lazima nimkague kukiwa na mwanga wa kutosha. Siku hizi unaweza ukatumbukiza mashine kwenye vipele ukajuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…