Mnaovulia nguo ndani ya shuka, eti huwa mnaficha nini???

Mnaovulia nguo ndani ya shuka, eti huwa mnaficha nini???

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 umenikumbusha Kongosho yule niliwahi kumsoma kwa jinsia zote mbili hadi nikaijua ile ya ukweli.

Mi ni kidume, jitu mwitu msitu, bonge la kifua misix packs kama yote!!!
 
Kwa nini mnavulia sirini?
Mimi sipo hivo ila nahisi wanaficha mkono wa sweta
But my point is unavofany hvo kutoa siri.hiyo ni tabia moja wapo inayofany baadhi ya wanaume wawachukie
Kwa mfano nilipokua o level jamaa etu alitangazwa shule ana kibamia.jamaa alimchukia yule dem had leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bidada anaweza kughairi pambano, “Kubwa sana hiyo utaniumiza naogopa, naomba niondoke.” Njemba inabaki hivi 😳 wakati huo akili yote imeshahamia kwenye dushe.

Kwa nini mnavulia sirini?
 
Mimi sipo hivo ila nahisi wanaficha mkono wa sweta
But my point is unavofany hvo kutoa siri.hiyo ni tabia moja wapo inayofany baadhi ya wanaume wawachukie
Kwa mfano nilipokua o level jamaa etu alitangazwa shule ana kibamia.jamaa alimchukia yule dem had leo

Sent using Jamii Forums mobile app

Eeh makubwa
 
Sasa hiyo sio kwa vidume ni kwa wote tuu hata ke nao huwa wanazima taa kabla ya kuchojoa...ila Mimi naona ni kama kujificha kwenye shamba la karanga atakuona tuu.
 
Bidada anaweza kughairi pambano, “Kubwa sana hiyo utaniumiza naogopa, naomba niondoke.” Njemba inabaki hivi [emoji15] wakati huo akili yote imeshahamia kwenye dushe.

Hamna muwa usiolika
Uwe mwembamba,mrefu,maene,mfupi
Utamu uleule ni jinsi ya kuula tu
 
Mimi sipo hivo ila nahisi wanaficha mkono wa sweta
But my point is unavofany hvo kutoa siri.hiyo ni tabia moja wapo inayofany baadhi ya wanaume wawachukie
Kwa mfano nilipokua o level jamaa etu alitangazwa shule ana kibamia.jamaa alimchukia yule dem had leo

Sent using Jamii Forums mobile app

Anyway yeye kwake hiyo siyo siri

We still make fun on that,kama hiyo kwako unaona ni siri ya kukudisappoint,
Pole
 
Inategemea ntu na ntu Hornet baadhi hukimbia na hawataki tena penzi ila wewe ni BINGWA!

Humu pia stories za kukimbia dushe zimo. Mmoja alidai njemba ni perfect kwenye kila eneo la penzi ila mrembo akadai dushe lilikuwa ni karaha kubwa na lilimkosesha amani na raha kwenye 6 kwa 6 hatimaye akakataa ndoa.

Baada ya miezi sita akasikia njemba kaoa akapigwa na mshangao na kujiuliza huyo KE mwenzangu analimudu vipi dubwasha lile.

Hamna muwa usiolika
Uwe mwembamba,mrefu,maene,mfupi
Utamu uleule ni jinsi ya kuula tu
 
Inategemea ntu na ntu Hornet baadhi hukimbia na hawataki tena penzi ila wewe ni BINGWA!

Humu pia stories za kukimbia dushe zimo. Mmoja alidai njemba ni perfect kwenye Lila eneo la penzi ila mrembo akadai dushe lilikuwa ni karaha kubwa na lilimkosesha amani na raha kwenye 6 kwa 6 hatimaye akakataa ndoa.

Baada ya miezi sita akasikia njemba kaoa akapigwa na mshangao na kujiuliza huyo KE mwenzangu analimudu vipi dubwasha lile.

Kila kitu ni namna ya matumizi

Hamna haja ya kujificha,unajua turn on mtu anayopata akikutizama unasaula?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Naelewa sana sasa iweje wengine wakimbie hadi ndoa kisa dushe?

Kila kitu ni namna ya matumizi

Hamna haja ya kujificha,unajua turn on mtu anayopata akikutizama unasaula?
 
Mara Nyingi Wenye Mtarimbo' Magobore tunaogopa wakiona wanakimbia ndiyo maana tunaficha ili uisikie Inaingia tu! Hata kuishika sitaki ila wale wanaifurahia nikimficha Mara ya kwanza baadae nikaona Anaifurahia siku tukirudia namwacha huru coz najua ni Size yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom