Mnaovulia nguo ndani ya shuka, eti huwa mnaficha nini???

Mnaovulia nguo ndani ya shuka, eti huwa mnaficha nini???

Mkuu umenichekesha Sana sasa ukimpiga ngwara utamfanyaje maana navyojua mwanamme habakwagi,, ukimpiga ngwara kama kalikuwa Kabamia katakuwa kabaten sikui katakufaa kwa matumizi tena kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nilijua wenye vibamia adhabu yetu iliishia 2018,kumbe mziki unaendelea
IMG-20171122-WA0020.jpg
 
Hahahahaha lakini kumbuka huwezi kuingia kwenye kundi la pili kabla ya kupita kundi la kwanza. Compatibility kwenye 6 kwa 6 muhimu sana.

Kuna waoaji na watmbaji, nakukumbusha tu.
 
Back
Top Bottom