Mnaovulia nguo ndani ya shuka, eti huwa mnaficha nini???

Mnaovulia nguo ndani ya shuka, eti huwa mnaficha nini???

Umetongoza kwa ujasiri kabisa tongozo la kibabe, ukaeleweka baada ya muda sasa wakati muafaka wa kufanya relation iwe rasmi (rasmi ndio!! bila kwichi sio rasmi, sio wapenzi, bado ni wapenzi watazamaji)....siku ya kupewa vitu unatimba mahali yani mkanda tu ndo una ujasiri wa kuutoa, unatoa mkanda kiunoni unazama ndani ya shuka huko ndo utaanza kusaula sasa, unajificha ficha kama ka binti kabikra hivi kidume huoni aibu kufanya hivo? Yani unakua kama vibinti vya kijijini kanatamani mjulubeng ila kanajizungusha hadi kapigwe ngwara ndo katoe.....

Kwani ni nini kinafichwa? Kidogo sana? Likubwa sana? Kimepinda? Pmb kubwa sana ama ndogo kama za nyau? Hata kama!!! Kwani umeziumba wewe hadi uzihofie hivo, okay sawa labda una aibu si ujilipue hata na k vant akili zisafiri kidogo uwe huru, inakera!!!!! Mtaja pigwa ngwara na wanawake marijali

Heri ya mwaka mpya jf family.
Umekutana na nini madam Evelyn Salt

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha ha haaah [emoji23][emoji23][emoji23] happy New Year [emoji323][emoji312][emoji324]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom