Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh..Salaam wakuu...
Nipo Kilimanjaro wilaya ya Mwanga.Eneo nilipo Lita1 ya mafuta yakupikia ni Tsh7000.
Kama uko tayari naomba tuwasiliane ili unitumie mzigo nikiuza nakutumia pesa.
Njoo PM tuweke vizuri utaratibu wa biashara.
Asanteni
Okay sawaHuku hakuna mashine yakukamulia hvy ikiwa mafuta itapendeza boss
kalime mkuuSalaam wakuu...
Nipo Kilimanjaro wilaya ya Mwanga. Eneo nilipo Lita 1 ya mafuta ya kupikia ni Tsh7000. Kama uko tayari naomba tuwasiliane ili unitumie mzigo nikiuza nakutumia pesa.
Njoo PM tuweke vizuri utaratibu wa biashara.
Asanteni
Eti hutajuta [emoji1787][emoji1787]Ukiniamini hutajuta mkuu
Endeleeni mkuu nawatakia biashara njema.Waliopo serious tunaendelea kuyajenga pm.