Mnaowaita Pisi Kali huko Tanzania, Asilimia 96% Hawana Akili

Umri wa mwanamke kuringa na kujiona mzuri pamoja na kupaparikiwa na wanaume hauzidi miaka 7, akishindwa kujilinda na kujitambua ndani ya muda huo atakuja kujuta huko mbeleni.
 
32.6% kodi ninayokatwa.. sinywi pombe sivuti sigara sipendi kwenda clabu kuchepuka ni mara moja sana mke akinivuruga.. au akienda likizo kwao Tanzania.. nina miaka mitano kazini so calculate..
Anhaa, lakini kuna kodi za aina nyingi nchini Canada. Hii unayozungumzia hapa ni ipi na ipi ???
 
Story iko bomba tatizo mleta mada ni mhaya ..

Iko ivi wanawake ni wakawaida Sana Wana mda mchache sana wa kulinga kama umekutana nae akiwa juu ya miaka 22 na kuendelea maana miaka Saba mbeleni hamna kitu na hapo kawaida miaka 30 wanaume ndo wnaanaa kuwa wa moto na mvuto.

Na akizalishwa tu watoto kadhaa basi game ishamtupa mkono ..
 
Akili watatoa wapi wakati wanachojua ni kuuza ngono wapate pesa na mali!! Pisi kali nyingi shepu na sura zao ndiyo asset zao siyo ubongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…