Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Hivi mtu unafikira nini mpaka unatoa haja ndogo na kuweka kwenye chupa na kisha kwenda kutupa mtaani? Huoni kwa kufanya hivyo mbali na kuharibu mazingira unahatarisha afya za wanaotumia barabara hiyo?
Kawe, DSM
Hizo kwenye video siyo petroli au pombe, ni mkojo! Lita mbili na zaidi! Mbaya zaidi nimekuta watoto wakiwa wanaenda shule wanagombania kuokota vizibo maeneo hayo, wakati chupa moja ikiwa imekanyagwa na gari na kufanya mchanga maeneo hayo uwe umeloa mkojo. Watoto hao washaokota mangapi hapo?
Wajuba embu kuweni serious basi, unakuwaje mchafu kiasi hicho na hata hujishtukii?