Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Sio wanakwaza tu bali ni wehu binadamu uliyestaarabika huwezi jisaidia alafu ukatupa kinyesi hadharani.Hivi mtu unafikira nini mpaka unatoa haja ndogo na kuweka kwenye chupa na kisha kwenda kutupa mtaani? Huoni kwa kufanya hivyo mbali na kuharibu mazingira unahatarisha afya za wanaotumia barabara hiyo?
View attachment 2535611
Kawe, DSM
Hizo kwenye video siyo petroli au pombe, ni mkojo! Lita mbili na zaidi! Mbaya zaidi nimekuta watoto wakiwa wanaenda shule wanagombania kuokota vizibo maeneo hayo, wakati chupa moja ikiwa imekanyagwa na gari na kufanya mchanga maeneo hayo uwe umeloa mkojo. Watoto hao washaokota mangapi hapo?
Wajuba embu kuweni serious basi, unakuwaje mchafu kiasi hicho na hata hujishtukii?
hiyo tabia ilianzishwa na madereva na makonda kisha ikaamia kwa madereva wa maloli sasa kwa vijana wa mitaaniHivi mtu unafikira nini mpaka unatoa haja ndogo na kuweka kwenye chupa na kisha kwenda kutupa mtaani? Huoni kwa kufanya hivyo mbali na kuharibu mazingira unahatarisha afya za wanaotumia barabara hiyo?
View attachment 2535611
Kawe, DSM
Hizo kwenye video siyo petroli au pombe, ni mkojo! Lita mbili na zaidi! Mbaya zaidi nimekuta watoto wakiwa wanaenda shule wanagombania kuokota vizibo maeneo hayo, wakati chupa moja ikiwa imekanyagwa na gari na kufanya mchanga maeneo hayo uwe umeloa mkojo. Watoto hao washaokota mangapi hapo?
Wajuba embu kuweni serious basi, unakuwaje mchafu kiasi hicho na hata hujishtukii?
[emoji23][emoji23] hivi ni ata jinsi KE hua wanakojoa kwenye chupa au ni sisi MADUME tu????Vijana wa hovyo Kweli Kweli