Mnapata wapi Marafiki Physically?

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Hivi nyie wenye marafiki ambao mnatembeleana na kukutana physically weekend mnawapata wapi?

Mbona mi niko mwenyewe sana Yaani weekend nazichukia bora weekdays nikiwa kazini muda unaenda ila weekend niko mwenyewe kama zombie.

Nijichanganye wapi na mimi nijuane ata na washkaji wawili watatu. Kwenye simu ninao wana wengi sana tunaweza chat ata masaa 100, ila physically sio kabisa.

Sinywi pombe, sio mshabiki wa mpira, siendi kanisani.. Nipo nipo tu
 
Foleni ya maji,maandazi,vituo vya afya na njiani
 
Acha kujitenga,penye watu pana mengi
Tafuta kampani ufurahie maisha mjini
 
Hao hao unaochat nao tengeneza urafiki wa kukutana na mambo mengine yaendelee.

Ila usiombe ukutane na rafiki anayebwabwaja kupitiliza utajionea kero aisee
 
Sasa hunywi pombe, huendi kanisani wala msikitini na sio shabiki wa mpira utapataje marafiki?
Ungekuwa shule afadhali ungewapata hadi wa mbegu.

Unaonekana unapiga kunyeto sana wewe πŸ™„
 
sasa wew hufanyi anasa yoyote ile na unakaa ndani ti, utapataje ao marafik? ama mtatembeleana vip kam wew mwenyew hauna ushawish ama ucheshi wa kukaribisha majiran zako/rafiki zako

siku moja tafta mchezo/jambo unalolipenda, na upendelee kutoka kulifuata lnapofanyika public, mfano unapenda mpira, nenda vibanda umiza ama baa, na sio lazma ulewe ukifika huko, just take your juis unywe taratbu uku ukijichanganya na watu uko.

pendelea kukaa nje siku za weekend, pia shobokea wanamtaa wako upate marafiki, pia humu mtandaoni wako weng tu, tafta unaeelewana nae, mwambie mtoke weekend kuzululisha miguu hiyo, acha uzembe, wenzako tuna requests za mitoko unlimited yaan mpka zngne unasahau[emoji23][emoji23]

kuwa mkarimu, acha kujitenga utakosa vizuri,
 

Aiseeee pole sana.....Kama vyote hivyo haufanyi basi "KAMATIA CHINI".
 
Chato Mkuu. 😜😜😜

 
Kama huwezi kuwa na marafiki jifunze kupenda mpira!,ila usishabikie simba wala yanga.
 
Sasa hunywi pombe, huendi kanisani wala msikitini na sio shabiki wa mpira utapataje marafiki?
Ungekuwa shule afadhali ungewapata hadi wa mbegu.

Unaonekana unapiga kunyeto sana wewe πŸ™„
Nyeto kweli. Napiga ila ipo katika to do list ya kuacha.

Cheki iyo namba 3 hapo MB ni Mastabesheni. Hii list ya vitu nina plan kuacha.
 
Una hela?
 
Pamoja mkuu. Ngoja nitaanza basi sema hobbies zangu ni changamoto kidogo.

Naangalia Formula 1 na Motor GP na naangalia movies sana.

So outings zangu sana sana ni cinema tu. Nimejaribu Bar dah nimeshindwa.

Nitajaribu Mpira niwe mshabiki wa timu local na nje moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…