Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani wenzangu mnapata wapi muda wa kujadili mapenzi kwa hali ya taifa ilivyo sasa.... tunakufaa... mie jogoo hata awiki ..kila nikimuita mamsapu stress zazidi... naishia lala bure... tunakufa..
actually shida zikizidi ndo watu wanavyozidi kujishughulisha na mapenzi
ili kujifariji,shida zikipungua watu watakuwa bize na shughuli za maendeleo
ndo maana kwenye kambi za wakimbizi mimba zinakuwa nyingi kuliko kwa raia wa kawaida
... mie jogoo hata awiki ..kila nikimuita mamsapu stress zazidi... naishia lala bure... tunakufa..
kwa mfano jaribu kumfikiria kinyozi.. siku ya tatu anarudi home kapa... huyo jogoo atawikaje.. tafakari kwa makin