Mnapata wapi muda?

Mnapata wapi muda?

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,858
Reaction score
23,768
Jamani wenzangu mnapata wapi muda wa kujadili mapenzi kwa hali ya taifa ilivyo sasa.... tunakufaa... mie jogoo hata awiki ..kila nikimuita mamsapu stress zazidi... naishia lala bure... tunakufa..
 
Kwahiyo we unatakaje?!Watu waache kabisa kujadili na kufanya mambo mengine kisa matatizo ya taifa?!Jipe furaha upunguze stress....mafisadi yanafurahia we unajikondesha.
 
Jamani wenzangu mnapata wapi muda wa kujadili mapenzi kwa hali ya taifa ilivyo sasa.... tunakufaa... mie jogoo hata awiki ..kila nikimuita mamsapu stress zazidi... naishia lala bure... tunakufa..

furahia maisha yako...................................u.sikubali mtu akupimie furaha yako hata katika mazingira ya aina yoyote ile achilia mbali ya kufa tu hata kama ya kufufuka...........
 
we unafkiri kila mtu ana shida kama ulizonazo wewe? kama jogoo wako hawiki hilo ndo swala la kujadili ukumbi huu sio tunapata wapi muda wa kuingia humu...
kila mtu na raha zake babu wee, wenzako wanapata posho kwa kulala tu bungeni wewe unapoteza usingizi bure na unakosa kufaidi unyumba bure bila sababu ya msingi kisa matatizo ya taifa.
 
U should be careless ktk baadhi ya mambo.
Kukaa ukaanza kulifikiria taifa si suluhisho la matatizo yaliyopo bali ni kujiongezea matatizo ww mwenyewe kutokana na stress unazopata.
Then jogoo hawiki, utakuwa na hamu ya kuyafikiria hata hayo mapenzi? Kiasi muda usipate.
 
actually shida zikizidi ndo watu wanavyozidi kujishughulisha na mapenzi
ili kujifariji,shida zikipungua watu watakuwa bize na shughuli za maendeleo

ndo maana kwenye kambi za wakimbizi mimba zinakuwa nyingi kuliko kwa raia wa kawaida
 
Duh hii kali sio kidogo. Badala ya kusikitika imebidi kwanza nicheke. Unajua hii habari ya mapenzi kiasi fulani inaweza kukushangaza kama hujapitia pitia na kujua mfumo wa ubongo. Mkuu achilia mbali hali ya taifa, watu huwa wanawaza mapenzi hata wawapo vitani, kwa kifupi ni mojawapo ya vionjo muhimu sana katika maisha ya mwanadamu.
 
Chukulia raisi wako ni mwigizaji!
Bunge usanii mtupu!
Ngeleja ni usanii!
Umeme ni usanii!
Maji ni usanii!
Njaa ni usanii!
Ajila ni usanii!
Kila kitu kitakwenda vyema!!
 
serikali imepunguza umahiri wangu ktk tendo la ndoa.. nina hali mbaayaa... nategemea sana umeme kta shuguli zangu
 
actually shida zikizidi ndo watu wanavyozidi kujishughulisha na mapenzi
ili kujifariji,shida zikipungua watu watakuwa bize na shughuli za maendeleo

ndo maana kwenye kambi za wakimbizi mimba zinakuwa nyingi kuliko kwa raia wa kawaida

kwa mfano jaribu kumfikiria kinyozi.. siku ya tatu anarudi home kapa... huyo jogoo atawikaje.. tafakari kwa makin
 
Mkuu ukipata ile kitu na ukaridhika kabisa, hata akili itakaa sawa na unaweza kusolve matatizo makubwa bila tabu yoyote! Jitahidi usiruhusu huzuni/kukata tamaa vikumeze...
 
... mie jogoo hata awiki ..kila nikimuita mamsapu stress zazidi... naishia lala bure... tunakufa..

Sasa hivi utaanza kupigwa pipe, jogoo likiacha kuwika misuli ya nyuma italegea mara na source of stimulation inahamia kwenye kale kashimo.
 
Unataka kujiua kwa kizingio cha hali mbaya ya nchi? Mmh utakufa peke yako.
 
sema kama unamatizo binafdi sawa kaka lakini haya matatizo ya taifa ndhani tumia kura yako/zenu vizuri next time
 
yaani hali imekuwa ngumu hadi nywele hazioti, ama watu wananyolewa na wake zao home? ila hadi 2015 tutakuwa tushatia akili!
kwa mfano jaribu kumfikiria kinyozi.. siku ya tatu anarudi home kapa... huyo jogoo atawikaje.. tafakari kwa makin
 
mie hata kuna mabomu nyumba ya jirani...Jogoo anawika namalizia la asubuhi then naanza kujiaandaa what next...
 
Back
Top Bottom