Mnapata wapi wapenzi?

Mnapata wapi wapenzi?

Salaaam vijana wenzangu.

Naomba mnisaidie kijana mwenzenu miaka 25 nataka nitoke kwenye hii hali ya U single nimeuchoka, Hivi mnapata wapi wapenzi serious yaani yule mwenzi wa kuwa naye maisha na mnafanya maisha pamoja?

Mi si mtu wa klabu au mitoko hivyo nakua ngumu kukutana na watu wapya hasa wadada nipeni mbinu ndugu zangu nyie mnawapatia wapi?
Mkuu ukitaka mwenza alie seriously ni hawa hawa ila mpka wakate tamaa ya maisha baada ya kilometers kusoma mno , waamue sasa kutulia .
 
Salaaam vijana wenzangu.

Naomba mnisaidie kijana mwenzenu miaka 25 nataka nitoke kwenye hii hali ya U single nimeuchoka, Hivi mnapata wapi wapenzi serious yaani yule mwenzi wa kuwa naye maisha na mnafanya maisha pamoja?

Mi si mtu wa klabu au mitoko hivyo nakua ngumu kukutana na watu wapya hasa wadada nipeni mbinu ndugu zangu nyie mnawapatia wapi?
Anza kutengeneza maisha yako utakavyo, weka mipango na anza kuifanyia kazi. Lengo lako la kwanza lisiwe kumpata mwanamke bali kutengeneza maisha alafu mwanamke awe mtu wa kuyang'arisha maisha yako.
.
Kabla ya kutafuta mwanamke/ ukiwa kwenye mchakato hakikisha unajua aina ya mwanamke unayemtaka, sio usubiri mpaka aje ndo ujue mwanamke unayemtaka.
.
Jitahidi utembee, jitoe out mwenyewe au na marafiki zako.
Pia kuwa mtu wa kijamii katika jamii uliyopo. Ongea na watu.
Ukifanikisha hivyo, vitu vizuri vinakuja vyenyewe.
 
Too theoretical huyu jamaa unamchanganya tu msaidie wazo apate mbunye kwanza mengine ndio yafate
 
Tafuta p
Salaaam vijana wenzangu.

Naomba mnisaidie kijana mwenzenu miaka 25 nataka nitoke kwenye hii hali ya U single nimeuchoka, Hivi mnapata wapi wapenzi serious yaani yule mwenzi wa kuwa naye maisha na mnafanya maisha pamoja?

Mi si mtu wa klabu au mitoko hivyo nakua ngumu kukutana na watu wapya hasa wadada nipeni mbinu ndugu zangu nyie mnawapatia wapi?
Esa kwanza at 25 unawaza mademu tu
 
Attachments

  • Screenshot_20230207-125950_One UI Home.jpg
    Screenshot_20230207-125950_One UI Home.jpg
    152.1 KB · Views: 4
  • Screenshot_20230207-125838_Tagged.jpg
    Screenshot_20230207-125838_Tagged.jpg
    377.2 KB · Views: 4
Salaaam vijana wenzangu.

Naomba mnisaidie kijana mwenzenu miaka 25 nataka nitoke kwenye hii hali ya U single nimeuchoka, Hivi mnapata wapi wapenzi serious yaani yule mwenzi wa kuwa naye maisha na mnafanya maisha pamoja?

Mi si mtu wa klabu au mitoko hivyo nakua ngumu kukutana na watu wapya hasa wadada nipeni mbinu ndugu zangu nyie mnawapatia wapi?
Mahusiano hayana formula Mungu huruhusu kila mtu kukutana na mwenzake wa maisha kwa majira yake na njia zake. mim na mke wangu tumekutana instagram... tuna mwaka wa kumi kwenye ndoa sasa.. maisha yako poa..
 
Salaaam vijana wenzangu.

Naomba mnisaidie kijana mwenzenu miaka 25 nataka nitoke kwenye hii hali ya U single nimeuchoka, Hivi mnapata wapi wapenzi serious yaani yule mwenzi wa kuwa naye maisha na mnafanya maisha pamoja?

Mi si mtu wa klabu au mitoko hivyo nakua ngumu kukutana na watu wapya hasa wadada nipeni mbinu ndugu zangu nyie mnawapatia wapi?
Endelea kuishi kisiwani usichoke kupiga nyeto mpaka ukomaa
 
Too theoretical huyu jamaa unamchanganya tu msaidie wazo apate mbunye kwanza mengine ndio y

Too theoretical huyu jamaa unamchanganya tu msaidie wazo apate mbunye kwanza mengine ndio yafate
Inategemea kama anataka matokeo ya muda mrefu au matokeo tu ya kupunguza nyege.
Kama anahitaji matokeo ya muda mrefu, nilichoandika ni msaada.
Ila kwa mtu ambaye hajali matokeo ya muda mrefu ataona ni theoretical.
 
Huyu kwanza ni mgeni kwenye industry kwahiyo kabla hajaanza kutafuta matokeo ya muda mrefu inabidi aizoee kwanza hii tasnia ndio mana nasema hii approach yako ataona kama theory tu kwa sasa
 
Hivi vitu binakujaga bila mipanga unashangaa tu mara umemnasa mdada mkali
Mwaka 2016 ndo nimemaliza form 6 nimeenda kumtembelea sister mbagala wakati nipo zangu zakhiem najiandaa kirudi home tababa nikakutana na pisi moja kalii inaingia kwenye gari dah nikahisi kupagawa aisee na mimi nikazama humohumo hata sijui daradara inakwenda wapi

Nilifanikowa kukaa nae siti moja ila yeye alikaa upande wa dirishani nikaanza salam na kumhoji unashuka wapi akanitajia nashuka kituo x na mimi nikamjibu nashuka hapohapo kituo x kumbe hata sipajui ninapokwenda in short nilifanikiwa kumpata ila tulikuja potezana sijui kwa sasa yupo wapi

Huyu nilienae sasa ilikua mwezi wa 12 mwaka jana nilikua natoka zangu mnazi mmoja nikapanda gari la kuelekea home nilikaa siti karibu na mlango baada ya kufika kkoo kongo ilipanda pisi moja matata aisee ila alienda kukaa siti ya mbele nilibaki namuangalia huku hamu ya matamanio ikinijaa niliapa sishuki hadi nione yule manzi anashuka aisee nilipitiliza kituo cha home huku macho yangu yakimuangalia yeye anashuka wapi mwishowe aliposhuka nami hapohapo nikashuka hivi sasa mnaposoma comment hii huyu dem ni mpenzi wangu na nipo nae getto nacheki nae movie inayoitwa LOVE DON'T COST A THING.

Na huyu anaweza kuwa wife maana anasifa zote japokua hatuna muda mrefu kwenye mahusiano ni mpole, mcheshi, anahofu na mungu na anajiweza kiuchumi pasipo kunitegemea mimi yaani anabiashara zake ni mtafutaji kwa kweli.
Ana miaka mingapi je kamaliza chuo [emoji3063][emoji3063]
 
We acha kumshauri mwana Upuuzi! Hizo dating Apps kwa hapa kwetu Bongo wamejaa Malaya tu! Nimetoka kumtoa mbio mmoja kaishia kuniita "SHOGA" kisa nimemtoa mkuku baada ya kuniletea habari zake za ajabu, nikamwambia "mimi sinunui Malaya!..., sipo hapa kununua Malaya" [emoji23][emoji1474]

Muda utafika kamanda na huenda muda ndo huu na haupo mbali.

ZINGATIA:- HAWA WA HUMU WATAKAOKUFATA PM HUWAGA WENGI WAO WANATAFUTA SOURCE AU CHANZO CHA MAPATO.... NI NJAA ZA KUENDEKEZA TU, KUWA NAO MAKINI.

#CHOOSEWISELY
[emoji81][emoji81][emoji81]
 
Hata usijiangaishe, wakati ukifika sijui Huwa wanatokea wapi?

Ila Kuna formula ukitaka wanawake waanze kukufuatila lazima uwe na demu unaemjali.

Tafuta demu hapo kitaani au ofsini kwenu jilipue na anza kudate nae. Jitoe sana , onyesha kucare ila usimule.

Utashangaa jinsi maisha Yako yatakavyobadirika. Utawindwa Kila Kona na hotojua unatokaje.

Hali hiyo ikitokea, Tenga muda wa kufunga na kuomba Kwa week nzima , uombe ishara ya mdada sahii. Mungu alivyo mwaminifu atakukutanisha nae.

Usisahau yule wa kwanza usimule mbususu.
Vijana hii mbinu hawawezi ata, ahudumie halafu asile mbususu[emoji28][emoji17][emoji28]
 
Back
Top Bottom