Omerta
JF-Expert Member
- Jan 3, 2016
- 5,957
- 7,505
Umri bado mdogo huo , kula maisha acha kutamani vitu vya hovyo hovyo katika umri mdogo mdogo wanguSalaaam vijana wenzangu naomba mnisaidie kijana mwenzenu miaka 25 nataka nitoke kwenye hii hali ya U single nimeuchoka, Hivi mnapata wapi wapenzi serious yaani yule mwenzi wa kuwa naye maisha na mnafanya maisha pamoja?
Mi si mtu wa klabu au mitoko hivyo nakua ngumu kukutana na watu wapya hasa wadada nipeni mbinu ndugu zangu nyie mnawapatia wapi??