Mnapata wapi wapenzi?

Umri bado mdogo huo , kula maisha acha kutamani vitu vya hovyo hovyo katika umri mdogo mdogo wangu
 
Ingia badoo

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
We acha kumshauri mwana Upuuzi! Hizo dating Apps kwa hapa kwetu Bongo wamejaa Malaya tu! Nimetoka kumtoa mbio mmoja kaishia kuniita "SHOGA" kisa nimemtoa mkuku baada ya kuniletea habari zake za ajabu, nikamwambia "mimi sinunui Malaya!..., sipo hapa kununua Malaya" 😂👍🏾

Muda utafika kamanda na huenda muda ndo huu na haupo mbali.

ZINGATIA:- HAWA WA HUMU WATAKAOKUFATA PM HUWAGA WENGI WAO WANATAFUTA SOURCE AU CHANZO CHA MAPATO.... NI NJAA ZA KUENDEKEZA TU, KUWA NAO MAKINI.


#CHOOSEWISELY
 
Kama ni mkiristo pia anza kuhudhuria kanisani.

Dukani wapi na sehemu unapoenda kupata mahitaji huwa huwakuti.

humu JF pia unapishana nao anza hata kuwaqote ... huwezi jua.

nadhani udomo zege ndio unakusumbua.

acha kuwafikiria wanawake wa bar na klabu (viwanja) wengi wao ni kupiga na kusepa japo si wote unaweza bahatisha pia.
 
Kiasi nina uoga pia ila natamanigii kufata wale wa levo zangu ila sioni pa kuwapata sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…