Mnapataje marafiki wa ku-hang nao out?

MTINGIJOLI

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
1,455
Reaction score
1,473
Habari Za Jioni Wakuu, Poleni Na Hongereni kwa Majukumu Ya Siku Nzima Ya Leo. Lengo Kuu la Kuja Hapa Ni Kuwaomba tu Mawazo Yenu Juu ya Hili, Linaweza lisiwe Muhimu Sana Kwa Baadhi Yetu humu Ila Sikua na Budi Kulileta Humu

Tatizo Langu Ni Kuwa Mimi Ni Mtu Wa Outing, Ila Huwa Napenda Company nikitokaga Ila Kwa Bahati Mbaya Haiko Hivyo, Na Nikitoka Huwa nakua Full Package, Kinachokosekana Ni Hiyo tu na Hua Nawaonea Wivu Sana Washkaji Wakiwa Pamoja, Na Hadi Kutamani Kuwajoin.

Sometimes Nasema Ninywe Local Bars na Pubs Hizi za Mtaani Ila Wansishia Kunihofia tu Hata Kujumuika Nami,
Naomba ieleweke Hapa Nazungumzia, MARAFIKI ( Washkaji wa Kiume) Sio Wanawake, Maana Wengine Wanaweza Nitafsiri Kama Mtu Ambae Natafuta Mtu wa Mahusiano, La Hasha.

MARAFIKI wa Kazini Ninao Ila Ni Wale, Uhusiano Wetu Ni Wa Kikazi tu, After Hapo Kila Mtu Na Mambo Yake, Kama Nijuavyo Humu Kuna Wabobezi na Wajuzi Wa Mambo, Naweza Pata Msaada Wa Hili,
Nawasilisha Kwenu

NB: Kwenye Maandishi Yangu Mniwie Radhi.
 
Angalia Cycle ya watu unaoassociate nao, there must be something wrong


Unakosaje washikaji wa kitaa aisee
 
Na Covid yote hii?
 
Mimi nahitaji rafiki wa kike wa ku hangout naye
 
Unatutania wewe,
Ukiwa muongeaji huwezi kosa company za kula tungi. Sasa kama wewe unafika counter kimyaaaa shauri yako.
Tena watu wa kula nao vyomba unawapata kwa urahis hata kupitia mitaa ambayo wewe unaonekana mala kwa mala.
Ukikaa kijiweni siku mbili tu, huwezi kosa kuwajua walevi wenzio.
 
Kwenye uandishi hapo tumeshakuwia radhi, unapatikana chemba ipi?
 
Ukiwa mtu wa bar, na kidg hauna uchoyo sana uwezi kosa kampani za bar... inafikia sehemu unakwepa ww kutokea viwanja, jamaa anapata tabu na kampani wkt bar watu kibao yeye tu
 
Ukiwa mtu wa bar, na kidg hauna uchoyo sana uwezi kosa kampani za bar... inafikia sehemu unakwepa ww kutokea viwanja, jamaa anapata tabu na kampani wkt bar watu kibao yeye tu
Kabisa yani, aseme tu kua naendaga bar na pub kutafuta wanawake
 
Ungetaj location ungepata wadau humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…