MTINGIJOLI
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 1,455
- 1,473
Habari Za Jioni Wakuu, Poleni Na Hongereni kwa Majukumu Ya Siku Nzima Ya Leo. Lengo Kuu la Kuja Hapa Ni Kuwaomba tu Mawazo Yenu Juu ya Hili, Linaweza lisiwe Muhimu Sana Kwa Baadhi Yetu humu Ila Sikua na Budi Kulileta Humu
Tatizo Langu Ni Kuwa Mimi Ni Mtu Wa Outing, Ila Huwa Napenda Company nikitokaga Ila Kwa Bahati Mbaya Haiko Hivyo, Na Nikitoka Huwa nakua Full Package, Kinachokosekana Ni Hiyo tu na Hua Nawaonea Wivu Sana Washkaji Wakiwa Pamoja, Na Hadi Kutamani Kuwajoin.
Sometimes Nasema Ninywe Local Bars na Pubs Hizi za Mtaani Ila Wansishia Kunihofia tu Hata Kujumuika Nami,
Naomba ieleweke Hapa Nazungumzia, MARAFIKI ( Washkaji wa Kiume) Sio Wanawake, Maana Wengine Wanaweza Nitafsiri Kama Mtu Ambae Natafuta Mtu wa Mahusiano, La Hasha.
MARAFIKI wa Kazini Ninao Ila Ni Wale, Uhusiano Wetu Ni Wa Kikazi tu, After Hapo Kila Mtu Na Mambo Yake, Kama Nijuavyo Humu Kuna Wabobezi na Wajuzi Wa Mambo, Naweza Pata Msaada Wa Hili,
Nawasilisha Kwenu
NB: Kwenye Maandishi Yangu Mniwie Radhi.