Niaje niaje..........Leo katika pita pita zangu mtandaoni....nakutana na habari kutoka kwa majirani (kenya) kuhusu kifo cha mwenyekiti wa tume ya uchaguzi.......nikakakumbuka stori nyingi sana kumhusu yule wa kwetu kule zanzibar .........marehemu jecha........jamani haya maisha tu tupendane na tuishi vyema ......ingawa kuna zee moja jinga lilisema wazuri hawafi lakini najua kabla hayajamfika atakumbuka kuomba msamaha hadhila ya watanzania kwa ujumla........sasa turudi kule kenya kwa majirani ...........sijui kama waliodhulumika kama wataungana na wafiwa kwenye kutoa pole unless serikali imzike mtu wao..........siku njema