Mnapopewa ofa muwe mnaanza kujitathimini

Asee hakuna raha kama mwanamke nawe ufanye clearance ya bill...ina raha yake

Wew nakadori unatembelea vanguarg mimi natembelea mwendokasi na daladala unahisi nitaweza kulipa bill ya laki nne

Then unamafanikio makubwa kwaio yaanaendana na ukubwa wa kipato
 
Ndio maisha mkuu, binadamu hatufanani, ila ungeuvaa uso wa kondoo na kumwambia tu kuwa your budget is limited.
Sasa mtu anaalika watu halafu hasemi nini waagize. Kama una hofu sema nao in advance kuliko kuwaacha wanaagiza lakini moyoni unaumi ile mbaya
 
Hahahah hio labda umchane baharia ila malaya kumwambia hilo ni ngumu. Lazma utakaza tu.
 
Sasa mtu anaalika watu halafu hasemi nini waagize. Kama una hofu sema nao in advance kuliko kuwaacha wanaagiza lakini moyoni unaumi aile mbaya
Mkuu, mtu anayejielewa hawezi kuagiza Henny tatu hata iweje, huyo ni hajielwi mzee. Henny moja ni around 100k kutegemea na eneo, tatu ni 300k. Binadamu(achilia mbali me or ke) mwenye kujielewa hawezi fanya hivyo.
 
watu wapo na maconfidence dah 😆
Wanachokosea ni kuwa mlima haupandwi kwa gia namba 5 lazima uanzie chini.
Nilijiuliza day one ana behave hivi na ameomba vitu vya 1.6 imejini day one...yes vilikuwa ndani ya uwezo...lkn nilijiuliza...what next?
 
Kitambaa Cheupe was a fine place sio hio kanda ya ufukweni 🤣🤣🤣
 
Wanachokosea ni kuwa mlima haupandwi kwa gia namba 5 lazima uanzie chini.
Nilijiuliza day one ana behave hivi na ameomba vitu vya 1.6 imejini day one...yes vilikuwa ndani ya uwezo...lkn nilijiuliza...what next?
Alikosea sana dah hata kama vipo ndani ya uwezo unaombaje vyote hivyo kwa day one .

bila shaka alikuwa mdada wa mjini eeh ?
 
Unapenda makelele?
Mi popote kambi mzee, as long as kuna mziki wa kwenda na mood yangu. Sio lazma makelele kuna sehemu zina mziki ila tulivu.

Kwa mgeni Kitambaa cheupe is a good place to be.
 
Mkuu, mtu anayejielewa hawezi kuagiza Henny tatu hata iweje, huyo ni hajielwi mzee. Henny moja ni around 100k kutegemea na eneo, tatu ni 300k. Binadamu(achilia mbali me or ke) mwenye kujielewa hawezi fanya hivyo.
Sawa, sasa mtu anajua kuwa kuna wasio jielewa. Unapoalika mtu anza mwenyewe kuwaalika unaoona wanaojielewa. Kama hujui huyo kama anajielewa au la, MWAMBIE BAJETI YAKO. Ukimuacha huru basi tegemea lolote
 
Ndio maisha mkuu, binadamu hatufanani, ila ungeuvaa uso wa kondoo na kumwambia tu kuwa your budget is limited.
Kuna wakati sekta yetu hutema so haikuwa shida but nilimhurumia kuwa nilijua baada ya hapo mlango utajifunga

Hawa viumbe ukianza naye juu unatakiwa uendelee juu siku ukishuka imekula pande...bora uanzie chini upande mdo mdo
 
Mi popote kambi mzee, as long as kuna mziki wa kwenda na mood yangu. Sio lazma makelele kuna sehemu zina mziki ila tulivu.

Kwa mgeni Kitambaa cheupe is a good place to be.
DAah mimi mikelele big no
 
Labda kama ni demu wako una mchana ivyo nani kawaida!!! Ila mualiko inaweza kuwa jama yako tu leo tutoke sasa mambo yakuniambia nipige balimi si upuuzi huo aise jamaa? Hunq kibunda toka peke ako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…