Mnapopewa ofa muwe mnaanza kujitathimini

Ningeendelea kukujibu lkn hujafuatilia posts zangu usingeuliza zaidi
 
Mtoa mada una hoja nzuri na WANAUME tumekuelewa.
Wavulana, vijana, watoto kiume na kike ndio wataleta maneno mbovu mbovu.

Iko hivi mkuu mualiko ni kitu kizuri lakini tusipangiane kitu chakula au kunywa!!!!!

Ambacho sipendi kwenye mialiko let say unamualika demu anakwambia nipo na rafiki angu hii kipengele maana lazima nikublock,

au una shangaa tu zimekuja mtu 3 wakati wewe ulimualika mtu mmoja hii ndo tabia mbaya....... na mkija kikundi nawatelekeza apo
 
Wew nakadori unatembelea vanguarg mimi natembelea mwendokasi na daladala unahisi nitaweza kulipa bill ya laki nne

Then unamafanikio makubwa kwaio yaanaendana na ukubwa wa kipato
Sina vanguard yoyote
Nshamiliki ki rav4 cha 2008 nkampa dingi.

Kutanua ni maamuzi tu... hela unatafuta halafu huzitumii uje ufe wazigombanie.

Nikiwa na ishu muhimu natumia bolt
Ndo nataka njichange ntafute ki ist kirahisishe mishe.
 
Haya baba
isijirudie jamani .
Mbona unaogopa?
Dad ako ni mtu wa kusafiri sana tu.
Tunakutana na vitimbi hata usipomwalika mtu vitimbi havikomi.

Jambo la muhimu unatumia hekima gani ku solve?
Kwangu hiyo ni kawaida ni mengi ya kusimulia lkn haina haja🤣🤣
 
Hahahah noma kweli mzee mie muziki ni hobby, huwa napenda indoors music zaidi
J5 na Jmosi nikiwa jijini huwa napenda nimuone Zorro pale boardroom.
Alinizoesha mjinga flani humu😅 humu...pametulia kiasi japo jmosi na pili kuna jam sana
 
Mbona unaogopa?
Dad ako ni mtu wa kusafiri sana tu.
Tunakutana na vitimbi hata usipomwalika mtu vitimbi havikomi.

Jambo la muhimu unatumia hekima gani ku solve?
Kwangu hiyo ni kawaida ni mengi ya kusimulia lkn haina haja🤣🤣
nashangaa mtu anapataje audacity ya kuchezea hela ya mtu hivyo .

aisee basi una moyo wa uvumilivu .. vitimbwi hivyo ningekuwa wewe tungegawana bill
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kwahio unampinga tajiri, kama hutumii BALIMI agiza hata Dasani basi utulie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa huo unyongee mkuu!! Ivi unitoe kwangu naweka gari mafuta nije kwenye mualiko wako alafu ninywe maji mkuu?? Inategemea wakati gani na mualiko niwa nini hasa.....

Wakati mwengine jamaa anakualika ili ukasikilize changamoto zake mshauriane kama vjana apo sawa maji fresh napiga......

Ila mualiko ambao unataka tukawake, iyo tusipangiane kula wala kunywa.... na ukileta pigo zakishamba nakulipia mimi iyo bill!!! Maana kualikana haimaanishi unaemuita hana kitu, sasa unapoanza mashariti ndo unazingua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1431][emoji1431]
 
nashangaa mtu anapataje audacity ya kuchezea hela ya mtu hivyo .

aisee basi una moyo wa uvumilivu .. vitimbwi hivyo ningekuwa wewe tungegawana bill
Ujue nikiridhia niwe mahali flani niko tayari kwa lolote...nakupa uhuru eidha uutumue uhuru wako vizuri au vibaya...ni juu yako masah🤣
Kama siko poa sikubali aibu so hatutaenda sehemu ghali
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Kataa unyonge kijana. Uzuri mnapoalikana mnajuana kwamba kila mtu ana nguvu kiasi gani!
 
Na hapo ukute hujamkula....soo sad[emoji17]
 
J5 na Jmosi nikiwa jijini huwa napenda nimuone Zorro pale boardroom.
Alinizoesha mjinga flani humu😅 humu...pametulia kiasi japo jmosi na pili kuna jam sana
Yeah pale pako sawa,kuna mzuka flani wa kiutu uzima.
 
We falla unajua sikulagi hivyo na haikuwa intensheni yangu...jinga wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu hupokei simu
Hahaa[emoji1787][emoji1787]...kwaiyo we unaliwaga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…