Mnapopewa ofa muwe mnaanza kujitathimini

Kalito alitaka kupageuza coco beach kama Jamaica 🤣🤣🤣 sema RC kaingilia kati
Na wanaume kama makondoo mpo tu maana hayo ndo mambo mnapenda.
Thanks mkuu wa mkoa kwa kukemea naona sku hizi wanapiga vijora
 
Na wanaume kama makondoo mpo tu maana hayo ndo mambo mnapenda.
Thanks mkuu wa mkoa kwa kukemea naona sku hizi wanapiga vijora
Ni fahari ya macho ile kuangalia uumbaji. Si unajua sikuhizi Bongo unywamwezi mwingiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…