Nadhani wadau tumeliongele hili swala kwa level ya chini sana vitu kama simu, chu**, nguo, picha, havina haja kurudishiana ila magari, nyumba, miradi, shamba, duka siwezi mwachia huyo mwanamke kwani wengi wetu wanaume tunaojitoa mara nyingi tunaibiwa na kudhulumiwa. But ni vyema ukaweka wazi kuwa in case of separation ni vitu gani virudishwe.