mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 4,335
- 9,286
Mji umekaa kimaskini, mji haujitoshelezi baadhi ya vijiji ni umaskin uliopitiliza, watu wanashindia viaz, maji hakuna
Nyumba za hovyo sio za kukaa binadam ni kama mazizi ya mbuzi, na bora mbuz anaishi sehemu nzuri
Mibunge na miviongozi ipo na inaishi hapo sijui haitembelei huko pemben yaan ni aibu kusema dodoma mji mkuu wa tanzania
Wananchi wanakaa barabaran kuomba maji kwa wenye magari ni aibu