Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
-
- #261
nipo urusi mwaka wa 5 sasaumesafiri kumbe
Kikubwa ni usafi maana kama alikukiss kabla ya kwenda huko alafu anarud hutaki akukiss jua una matatizo we mwenyewe sio yeye
sauwaKikubwa ni usafi maana kama alikukiss kabla ya kwenda huko alafu anarud hutaki akukiss jua una matatizo we mwenyewe sio yeye
USAFI NI MUHIMU
Duh sasa hii vita inayoendelea huko ukiuliwa m ntawaeleza nn walimwengu🤔🤔😃nipo urusi mwaka wa 5 sasa
sijuiDuh sasa hii vita inayoendelea huko ukiuliwa m ntawaeleza nn walimwengu🤔🤔😃
Newtons third law of motionJust know that "For every action there is an equal and opposite re action"
aiseeNewtons third law of motion
Ndo maana yake..!!aisee
sauwaNdo maana yake..!!