Mnapotubusu na Kutula...

Yaani mimi nimethubutu kwenda huko kwa mzee Madiba, halafu nikirudi usinipokee!!!!!?????

Duh! Mwananchi anaikana nchi yake!!?? Ajabu sana kwa Tanzania tu
MLAUMU WOLPER
 
Baby stori zishakwisha au?
cc. Money penny
Nishampitia asiyejua kutongoza, nishaenda kwenye concert ya money penny ni nani has?, nikakutana wale wa kuchepuka, in short sijabakiza popote zaidi
umeenda kule kwenye mchaga na mpare?
 
Tetesi ambazo hazijathibitishwa bado....
Inasemekana wewe ndiyo Wolper...

Ingawa kuna ambao wanakufananisha na member mmoja hivi humu...


Cc: mahondaw
siwezi kuwa wolper hata kiduchu!
mtasubiri sana
mlianza na kuniita Mange sa hivi Wolper doh! kesho mtaniita MHESHIMIWA NANI SIJUI!
 
Yaan nmetumia mda mrefu sana kumfikiria money peny nmeishia tu, kujutia kuingia jf siku ya leo
 
Yaan nmetumia mda mrefu sana kumfikiria money peny nmeishia tu, kujutia kuingia jf siku ya leo
HAHAHAHA HIO status inamuhusu wolper sio mimi
nakutag kwenye stori zangu uje usome utanielewa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…