Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Aug 24, 2025 #1 Leo waafrika dini zimewapumbaza mfano mtu unajua siasa unajibiwa na mtengeneza muvi.Hapa ndio utambue kuwa hata mnara wa babeli uliangushwa na wachambuzi ambao akili zao zilikuwa ndogo kwenye ujenzi. Leo chawa ndio washauri wa kila jambo.
Leo waafrika dini zimewapumbaza mfano mtu unajua siasa unajibiwa na mtengeneza muvi.Hapa ndio utambue kuwa hata mnara wa babeli uliangushwa na wachambuzi ambao akili zao zilikuwa ndogo kwenye ujenzi. Leo chawa ndio washauri wa kila jambo.
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 61,672 Reaction score 178,673 Aug 24, 2025 #2 Naunga mkono hoja
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,566 Reaction score 104,386 Aug 24, 2025 #3 Mita 90 tu nazo wakaona ndeeefu.
econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 25,522 Reaction score 40,795 Aug 24, 2025 #4 Binadamu hujifanya mjuaji Sana.