Mnara wa Kumbukumbu ya Marubani wa Ndege vita ya JWTZ

Mtoto wa Nyerere mmoja

Ishu ya mtoto wa Nyerere haikuwa Dar, yeye alifariki baada ya ndege aliyokuwamo kupita katika anga la Tanzania ambalo haikuruhisiwa ndege vita yoyote kupita, hivyo askari wa JWTZ waliidungua ndege yake kimakosa wakidhani ni ya adui.
 
Naongezea kidogo umechepuka ni kwamba wakati wa vita Jeshi huwa standby aslimia 100% tunaposema asilimia 100% maana yake chochote utakachokiona kama huna taarifa nacho piga bila kusubiri amri kutoka kwa kiongozi wako, kilichofanyika ndege ya mtoto wa nyerere iliondoka kuelekea mwanza walopaswa kutoa taarifa ya ile safari hawakupeleka badala yake ndege ikafika mwanza bila taarifa mara tu baada ya kutunguliwa taarifa ilifika na mtoa taarifa akajulishwa kuwa tumeitungua na ikaanguka ziwani.
 
Vitani watu wa anti aircraft battery au air defense huwa hawadungui ndege bila command ya kamanda wao. Wakiona ndege wanatoa taarifa na kuuliza kabla ya kuishambulia. Kamanda ndiye anatoa ruhusa kushambulia au kuzuia naye hutoa hivo akiuliza, asipopata jibu ndio wanaruhusu kushambulia.

Tofauti na hivyo modern radar systems na hizo ndege zinakuwa na Identification of Friend or Foe (IFF) ambazo Tanzania hadi leo hatuna. Zikiwepo hizo hautoi taarifa ukiwa angani radar inasoma signal za ndege na kujua taarifa zilizosajiriwa.

Case ya huyo Nyerere ni friendly fire. Walikuwa hawana IFF na taarifa za ndege hawana wakati labda walikuwa wameweka no fly zone.
 
M

Mungu akubariki kwa kuongezea nyama mkuu ahsante sana
 
Back
Top Bottom