Mnara wa Kumbukumbu ya Waliopotea ambao Hawajapatikana

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,154
Reaction score
4,184
Ni wazo Tu,

Kama Itawapendeza.Kuna watu wengi sana ambao wamepotea na kuuwawa katika harakati mbalimbali za kidemokrasia.Je itakuwa ni Jambo zuri kama Tukiwajengea Mnara wa Kumbukumbu ambapo Orodha ya Majina yao itawekwa na Picha ili Tuwaenzi na Ndugu zao waweze kutembelea hapo kama sehemu ya Kumbukumbu?Unaweza tu kuwa ni UKUTA Mkubwa ambapo Vibao vyenye majina yao vinawekwa.
 
Mwanzo wa machafuko, binafsi siungi hoja mkono.
 
Ni jambo zuri kuwakumbuka watanzania wenzetu.Na ikiwezekana huo mnara ujengwe kwenye Kila makao makuu ya polisi mkoa.
 
Ni wazo Tu,

Kama Itawapendeza.Kuna watu wengi sana ambao wamepotea na kuuwawa katika harakati mbalimbali za kidemokrasia.Je itakuwa ni Jambo zuri kama Tukiwajengea Mnara wa Kumbukumbu ambapo Orodha ya Majina yao itawekwa na Picha ili Tuwaenzi na Ndugu zao waweze kutembelea hapo kama sehemu ya Kumbukumbu?Unaweza tu kuwa ni UKUTA Mkubwa ambapo Vibao vyenye majina yao vinawekwa.
IMG-20241103-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom