Wapunguze kwenye zile 30billion za kujenga makumbushoMtawajengea kwa gharama za nani?
CHADEMAMtawajengea kwa gharama za nani?
Ni wazo Tu,
Kama Itawapendeza.Kuna watu wengi sana ambao wamepotea na kuuwawa katika harakati mbalimbali za kidemokrasia.Je itakuwa ni Jambo zuri kama Tukiwajengea Mnara wa Kumbukumbu ambapo Orodha ya Majina yao itawekwa na Picha ili Tuwaenzi na Ndugu zao waweze kutembelea hapo kama sehemu ya Kumbukumbu?Unaweza tu kuwa ni UKUTA Mkubwa ambapo Vibao vyenye majina yao vinawekwa.