Mnasema Bongo vyuma vimekaza

Mnasema Bongo vyuma vimekaza

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Nigeria mambo yakiwa magumu sana pilipili hupondwa kwenye kinu ikaangawa na mafuta ya mawese, hii ni mboga ya kulia wali, ugali au yam la kuchemsha. Baada ya hapo watoto wanapewa maji ya kunywa siku imepita.
 
Pole yao au pole yetu?
Only God knows.
 
Nigeria mambo yakiwa magumu sana pilipili hupondwa kwenye kinu ikaangawa na mafuta ya mawese, hii ni mboga ya kulia wali, ugali au yam la kuchemsha. Baada ya hapo watoto wanapewa maji ya kunywa siku imepita.

Hivi kati ya pilipili na mchicha/matembele/majani ya maboga ipi ni aghali?
 
Bado unaendelea na ziara yako huko hata picha huweki inawezekana ikawa ziara ya kufikilika tu na si uharisia weka picha
 
Ugali unaweza kula kwa chumvi na maji mambo yakawa sawa tu.. Wali unaweza kula kwa maji tu..

Kwahyo kula pilipili kisa kuwa vyuma vimekaza hainogi..

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom