Laiguanan
Senior Member
- Jul 31, 2018
- 115
- 184
Huku kwetu tunakula visivyoliwa mkuu.Nigeria mambo yakiwa magumu sana pilipili hupondwa kwenye kinu ikaangawa na mafuta ya mawese, hii ni mboga ya kulia wali, ugali au yam la kuchemsha. Baada ya hapo watoto wanapewa maji ya kunywa siku imepita.