Mnasema Bongo vyuma vimekaza

Mnasema Bongo vyuma vimekaza

Nigeria mambo yakiwa magumu sana pilipili hupondwa kwenye kinu ikaangawa na mafuta ya mawese, hii ni mboga ya kulia wali, ugali au yam la kuchemsha. Baada ya hapo watoto wanapewa maji ya kunywa siku imepita.
Huku kwetu tunakula visivyoliwa mkuu.
 
Back
Top Bottom