unaeza kula pilipili iliyopondwa na mafuta pekee ya mawese afu ujisifie kuwa vyoma havijakaza?kwaiyo kula pilipili ndiokigezo cha kujua vyuma vimekaza?
Nigeria mambo yakiwa magumu sana pilipili hupondwa kwenye kinu ikaangawa na mafuta ya mawese, hii ni mboga ya kulia wali, ugali au yam la kuchemsha. Baada ya hapo watoto wanapewa maji ya kunywa siku imepita.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umehadithiwa au umesikia kweny redio?[emoji41]
KulikoBora pilipili kwenye demokrasia