Tokea lini mwanalumumba akawa na akili toa makalio hayo hapaThamani ya shilingi kupanda na kushuka ni jambo la kawaida..hata hivyo mara nyingi thamani ya shilingi hupimwa kwa dola..na thamani ya dola itaendelea tu kupanda kadiri uchumi wa dunia unavyodilika..miaka kadhaa nyuma $/Tsh ilikuwa 1500 tu..mwenye nguvu akikua mdogo atashuka..
Lakini usisahau pia mfumuko wa bei umeongezeka au umepungua..
Kuhusu ajira ni suala mtambuka..kila mtu hawezi kuajiriwa au si kila wanaoajiriwa lazima walipoti..ila kila siku watu wanaajiriwa kuliko wanaoapunguzwa au kuacha kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Kweli Rais Magufuli ana Roho Mbaya?
Watu wengi humu wamekuwa wakisema maisha yalikuwa mazuri sana wakati wa awamu ya nne, siwezi kupinga ama kuafiki hilo kwa kuwa sifahamu maisha ya kila mtu yalivyokuwa kipindi hicho.
Ni vigumu kupima hali ya kimaisha nchini kwa kusikiliza maoni ya mtu moja mmoja hapa JF, hivyo inatubidi kutafuta kipimo kimoja ambacho tunaweza kukitumia kulinganisha vipindi hivyo viwili kuona kama kweli maisha yalikuwa mazuri (kwa kila mtu) ama la.
Wengi wanaopinga utawala huu wa awamu ya tano wamekuwa wakisema kuwa JPM ameharibu uchumi, pesa haionekani, na maneno mengi mengineyo. Ni vigumu kujua ukweli lakini kwa kutumia kipimo cha wapenzi wa mpira wa miguu tunaweza kupata ukweli.
Uwanja wa Taifa umekuwa ukitumika kwa muda sasa, cha kushangaza wakati wa "neema" (kipindi cha JK) wakati watu walikuwa na pesa, uwanja huo haukuwahi kujaa. Nakumbuka wakati timu kubwa kabisa duniani ya Brazil ilipokuja kucheza hapo uwanjani mwaka 2010 watu hawakujaza uwanja kabisa, tena wakati huo ulikuwa bado mpya.
Lakini leo hii Simba wakicheza uwanja huo unajaa, kama hali ni mbaya kiasi hicho, hawa watu wanapata wapi pesa? Kama huyu Rais ni mbaya na analeta umasikini inakuwaje leo watu wengi wanaweza kulipa viingilio na kuujaza uwanja?
2019 Simba vs AS Vita
2012 - Simba vs Yanga
Naombeni majibu.
Nampenda sana Magufuli kwasababu kipindi kile waliokuwa wanafaidi keki ya nchi kwa ujanja ujanja wamekuwa angalau wanatusalimia heshima imerudi.Tuliokuwa tuna kula kwa jasho letu tunaendelea na hatuoni mabadiliko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona Mimi nipo miongoni mwa hayo makundi na naona Hali Ni nzuri..Tena Sasa hivi tunashukuru Sana MunguWewe nadhani hauko kundi lolote . Huwezi kuwa mfanyabiashara wala mfanyakazi hata kilimo hufanyi ndio maana anasema hayo
Ungekuwa miongoni mwa makundi hayo matatu isingesema hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona Mimi nipo miongoni mwa hayo makundi na naona Hali Ni nzuri..Tena Sasa hivi tunashukuru Sana Mungu
Naunga mkono hoja hii.Hakuna tena Faraja yungine zaidi ya mpira. Hapo watu wanapunguza maumivi kwa dk chache tu. Waulize baada ya hapo kinaendelea nini?, ni shida na karaha.
Wengine wao hao watarudi ngumbani mwao kwa miguu ,hawana hata nauli ya basi.
Watanzania wanapenda Mikusanyiko .Zamani kulikuwa na mikutano ya siasa .Siku hizi tukio pekee linalowakusanya watanzania kwa ujumla wao ni mpira tu ,ndio maana unaona uwanja umejaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiingilio Cha Taifa star vs Brazil kilikuwa sh 200,000 VIP na mzunguko 30,000Ni Kweli Rais Magufuli ana Roho Mbaya?
Watu wengi humu wamekuwa wakisema maisha yalikuwa mazuri sana wakati wa awamu ya nne, siwezi kupinga ama kuafiki hilo kwa kuwa sifahamu maisha ya kila mtu yalivyokuwa kipindi hicho.
Ni vigumu kupima hali ya kimaisha nchini kwa kusikiliza maoni ya mtu moja mmoja hapa JF, hivyo inatubidi kutafuta kipimo kimoja ambacho tunaweza kukitumia kulinganisha vipindi hivyo viwili kuona kama kweli maisha yalikuwa mazuri (kwa kila mtu) ama la.
Wengi wanaopinga utawala huu wa awamu ya tano wamekuwa wakisema kuwa JPM ameharibu uchumi, pesa haionekani, na maneno mengi mengineyo. Ni vigumu kujua ukweli lakini kwa kutumia kipimo cha wapenzi wa mpira wa miguu tunaweza kupata ukweli.
Uwanja wa Taifa umekuwa ukitumika kwa muda sasa, cha kushangaza wakati wa "neema" (kipindi cha JK) wakati watu walikuwa na pesa, uwanja huo haukuwahi kujaa. Nakumbuka wakati timu kubwa kabisa duniani ya Brazil ilipokuja kucheza hapo uwanjani mwaka 2010 watu hawakujaza uwanja kabisa, tena wakati huo ulikuwa bado mpya.
Lakini leo hii Simba wakicheza uwanja huo unajaa, kama hali ni mbaya kiasi hicho, hawa watu wanapata wapi pesa? Kama huyu Rais ni mbaya na analeta umasikini inakuwaje leo watu wengi wanaweza kulipa viingilio na kuujaza uwanja?
2019 Simba vs AS Vita
2012 - Simba vs Yanga
Naombeni majibu.
Kuna mtu anakula siasa?Unasema watu wafanye siasa badala ya kufanya kazi?Kama unapenda sana siasa hujakatazwa kufanya ndani ya chama chako kwenye mikutano ya ndani.Hivi mnasemaje Jiwe anakubalika wakati mnawazia upinzani wasifanye siasa na wakati huo mnasema upinzani unakufa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashangaaa mimiYaani kwenda kuangalia mechi ndo maisha ni mazuri mitaani?
Lumumba ni shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Si wanakopa kwakua wana uhakika wa kulipa?Kwako sio chakula, wengine wanakikosa hata hicho kidogo
Maisha mazuri yanapimwa kwa kuaangalia general economic welfare and standard of living (usitawi wa jamii na gharama za maisha) hapa nazungumuzia huduma za kijamii nzur, siasa safi, elimu biashara ,maji, umeme n. K
Maisha mazuri hayawezi pimwa kwa kuangalia pato la nchi (GDP) nchi inaweza kuwa na pato kubwa ila wananchi wanaishi maisha magumu balaa (due to missallocation of resources), kwa kuwekeza kwenye miradi mikubwa bila kujali wananchi
Maisha ni mabovu sana huku mtaani, swala la mpira ni luxuary life just prestage , mashabiki wamekuwa wengi wamekuwa addicted wapo radhi kukopa ilimradi wakafurahishe mioyo yao,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani zamani kingilio kilikua laki?Mkuu mimi niko tayari nisile ila niangalie mpira na kuna mwingine hapendi mpira ila yupo tayari asile ili atimize hamu yake, huwezi kupima kwa Sh 3000 hata asiekuwa na hela lazima angejichanga akaenda uwanjani ni bora angeleta hiyo mada kama kiingilio kilikuwa Laki.
Acha siasa kwenye Kila kituKwa post hii ndio mjue 80% ya wana lumumba wamejaa makamasi kichwani badara ya ubongo .