kuchukua sample ya watazamaji wa mechi ya jana na kulinganisha na ugumu wa maisha unajidanganya.DSM ina population zaidi ya watu milion 4 uwanja unachukua watu labda 60,000,ukijaa uwezi sema watu wana hali nzuri 60,000:4,000,000 ni ratio ndogo sana kutoa hulisia wa maisha ya watu.Kumbuka kingilio cha chini ilikuwa 3,000/=kwa mazingira ya dar ni rahisi mtu wa kipato cha chini kupata 3,000/=kuliko mikoani na ndivyo nadharia ya demand na supply inavyofanya kazi,mjasiriamali wa dar yenye watu milioni zaidi ya nne ni rahisi kupata 3,000/=ya kutazama mechi tofauti na mikoani.