Mnasemaje hali ngumu wakati Uwanja wa Taifa unajaa mechi ya Simba?

Kiingilio Cha Taifa star vs Brazil kilikuwa sh 200,000 VIP na mzunguko 30,000

Kiingilio Cha Simba vs Vita Ni 10,000 VIP na mzunguko 3,000

Haya sema.....
Ni kweli miaka yote 2010 - 2015 viingilio vilikuwa 30K?
 
kuchukua sample ya watazamaji wa mechi ya jana na kulinganisha na ugumu wa maisha unajidanganya.DSM ina population zaidi ya watu milion 4 uwanja unachukua watu labda 60,000,ukijaa uwezi sema watu wana hali nzuri 60,000:4,000,000 ni ratio ndogo sana kutoa hulisia wa maisha ya watu.Kumbuka kingilio cha chini ilikuwa 3,000/=kwa mazingira ya dar ni rahisi mtu wa kipato cha chini kupata 3,000/=kuliko mikoani na ndivyo nadharia ya demand na supply inavyofanya kazi,mjasiriamali wa dar yenye watu milioni zaidi ya nne ni rahisi kupata 3,000/=ya kutazama mechi tofauti na mikoani.
 
Hivi miaka ya nyuma kiingilio hakikuwahi kuwa chini?
 
Ni kweli miaka yote 2010 - 2015 viingilio vilikuwa 30K?
Mtoa mada anasema eti hali ya Sasa maisha Ni nzuri ndiyo maana kiwanja kinajaa ndo nimempa hiyo data ili ajue huko nyuma tatizo lilikuwa Nini.
 
Kama asilimia kubwa ya watanzania wana akili kama zako basi tuna kazi sana kufikia mafanikio na maendeleo kama taifa...
Huwezi kulinganisha uwingi wa watu uwanjani wanaoingia kwa kiingilio cha 3000 na maisha halisi ya wananchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom