Mnasemaje hali ngumu wakati Uwanja wa Taifa unajaa mechi ya Simba?

Chamoto

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2007
Posts
8,577
Reaction score
18,774
Ni Kweli Rais Magufuli ana Roho Mbaya?

Watu wengi humu wamekuwa wakisema maisha yalikuwa mazuri sana wakati wa awamu ya nne, siwezi kupinga ama kuafiki hilo kwa kuwa sifahamu maisha ya kila mtu yalivyokuwa kipindi hicho.

Ni vigumu kupima hali ya kimaisha nchini kwa kusikiliza maoni ya mtu moja mmoja hapa JF, hivyo inatubidi kutafuta kipimo kimoja ambacho tunaweza kukitumia kulinganisha vipindi hivyo viwili kuona kama kweli maisha yalikuwa mazuri (kwa kila mtu) ama la.

Wengi wanaopinga utawala huu wa awamu ya tano wamekuwa wakisema kuwa JPM ameharibu uchumi, pesa haionekani, na maneno mengi mengineyo. Ni vigumu kujua ukweli lakini kwa kutumia kipimo cha wapenzi wa mpira wa miguu tunaweza kupata ukweli.

Uwanja wa Taifa umekuwa ukitumika kwa muda sasa, cha kushangaza wakati wa "neema" (kipindi cha JK) wakati watu walikuwa na pesa, uwanja huo haukuwahi kujaa. Nakumbuka wakati timu kubwa kabisa duniani ya Brazil ilipokuja kucheza hapo uwanjani mwaka 2010 watu hawakujaza uwanja kabisa, tena wakati huo ulikuwa bado mpya.

Lakini leo hii Simba wakicheza uwanja huo unajaa, kama hali ni mbaya kiasi hicho, hawa watu wanapata wapi pesa? Kama huyu Rais ni mbaya na analeta umasikini inakuwaje leo watu wengi wanaweza kulipa viingilio na kuujaza uwanja?

2019 Simba vs AS Vita
img_20190316_202117-jpg.1047163

2012 - Simba vs Yanga
542153_362094420505497_100001148267826_987716_809425928_n-jpg.53581

Naombeni majibu.
 
Mwanauchumu ahsante sana kupima maisha ya wantazania kwa kulinganisha na kiingilio cha machi ya simba......kwelili bado tuna safari ndefu sana ya watu kama nyie ni chini ya asilimia 2% ya Tanzania wanao shabikia mpila 98% hawajui kama ata nchini kuna ombe la Caf na simba inashiriki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna tena Faraja yungine zaidi ya mpira. Hapo watu wanapunguza maumivi kwa dk chache tu. Waulize baada ya hapo kinaendelea nini?, ni shida na karaha.

Wengine wao hao watarudi ngumbani mwao kwa miguu ,hawana hata nauli ya basi.

Watanzania wanapenda Mikusanyiko .Zamani kulikuwa na mikutano ya siasa .Siku hizi tukio pekee linalowakusanya watanzania kwa ujumla wao ni mpira tu ,ndio maana unaona uwanja umejaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanauchumu ahsante sana kupima maisha ya wantazania kwa kulinganisha na kiingilio cha machi ya simba......kwelili bado tuna safari ndefu sana ya watu kama nyie ni chini ya asilimia 2% ya Tanzania wanao shabikia mpila 98% hawajui kama ata nchini kuna ombe la Caf na simba inashiriki

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio wachambuzi wetu wa uchumi hao,
 
Mtoa mada hata uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana, huwezi kupima uchumi wa nchi kwa watu kuingia uwanjani kuishangilia simba, uchumi wa nchi huangaliwa kwa maisha halisi ikiwemo thamani ya hela yetu kupanda, maisha bora kwa wananchi , ajira na mengineyo

Mi sio mwanauchumi, ila nyie wajuzi mnafikiri ni kwanini zamani uwanja ulikuwa haujai?
 
Ni Kweli Rais Magufuli ana Roho Mbaya?

Watu wengi humu wamekuwa wakisema maisha yalikuwa mazuri sana wakati wa awamu ya nne, siwezi kupinga ama kuafiki hilo kwa kuwa sifahamu maisha ya kila mtu yalivyokuwa kipindi hicho.

Ni vigumu kupima hali ya kimaisha nchini kwa kusikiliza maoni ya mtu moja mmoja hapa JF, hivyo inatubidi kutafuta kipimo kimoja ambacho tunaweza kukitumia kulinganisha vipindi hivyo viwili kuona kama kweli maisha yalikuwa mazuri (kwa kila mtu) ama la.

Wengi wanaopinga utawala huu wa awamu ya tano wamekuwa wakisema kuwa JPM ameharibu uchumi, pesa haionekani, na maneno mengi mengineyo. Ni vigumu kujua ukweli lakini kwa kutumia kipimo cha wapenzi wa mpira wa miguu tunaweza kupata ukweli.

Uwanja wa Taifa umekuwa ukitumika kwa muda sasa, cha kushangaza wakati wa "neema" (kipindi cha JK) wakati watu walikuwa na pesa, uwanja huo haukuwahi kujaa. Nakumbuka wakati timu kubwa kabisa duniani ya Brazil ilipokuja kucheza hapo uwanjani mwaka 2010 watu hawakujaza uwanja kabisa, tena wakati huo ulikuwa bado mpya.

Lakini leo hii Simba wakicheza uwanja huo unajaa, kama hali ni mbaya kiasi hicho, hawa watu wanapata wapi pesa? Kama huyu Rais ni mbaya na analeta umasikini inakuwaje leo watu wengi wanaweza kulipa viingilio na kuujaza uwanja?

2019 Simba vs AS Vita
img_20190316_202117-jpg.1047163

2012 - Simba vs Yanga
542153_362094420505497_100001148267826_987716_809425928_n-jpg.53581

Naombeni majibu.
Hivi mnasemaje Jiwe anakubalika wakati mnawazia upinzani wasifanye siasa na wakati huo mnasema upinzani unakufa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naamini unajua unachokiongea ila umeamua tu kuchangamsha genge.... 2010 vs 2019 = gap la miaka 9, sasa sijui idadi ya watu bado ni ile ile kwa DSM...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni suala dogo alihitaji kupasua kichwa kwa mara ya kwanza baada ya miaka mingi timu ya tanzania imefika katika level hii ya mashindano. Jana ilibidi tushangilie kwa wingi ili kuipa moyo timu ambayo tunaimani itatutoa kimasomaso kwenye michezo hii ya kimataifa.
 
Mtoa mada hata uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana, huwezi kupima uchumi wa nchi kwa watu kuingia uwanjani kuishangilia simba, uchumi wa nchi huangaliwa kwa maisha halisi ikiwemo thamani ya hela yetu kupanda, maisha bora kwa wananchi , ajira na mengineyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa akili yake sijui ikoje, badala ya kulinganisha Simba vs AS vita 2012 na Simba vs AS vita 2019 yeye analinganisha na yanga
 
Mihogo sio chakula?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwako sio chakula, wengine wanakikosa hata hicho kidogo

Maisha mazuri yanapimwa kwa kuaangalia general economic welfare and standard of living (usitawi wa jamii na gharama za maisha) hapa nazungumuzia huduma za kijamii nzur, siasa safi, elimu biashara ,maji, umeme n. K

Maisha mazuri hayawezi pimwa kwa kuangalia pato la nchi (GDP) nchi inaweza kuwa na pato kubwa ila wananchi wanaishi maisha magumu balaa (due to missallocation of resources), kwa kuwekeza kwenye miradi mikubwa bila kujali wananchi

Maisha ni mabovu sana huku mtaani, swala la mpira ni luxuary life just prestage , mashabiki wamekuwa wengi wamekuwa addicted wapo radhi kukopa ilimradi wakafurahishe mioyo yao,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom