Mnashangaa Aubin Kramo kupata Majeraha tena? Anayemtesa karejea kutoka Algeria na Taifa Stars

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
GENTAMYCINE nikiwa nakuja na Threads hapa za Kuwaonya Viongozi wa Simba na Yanga wawachane mubashara ( live ) Wachezaji wazawa kwa Kuwaroga ( kupiga Pini ) Wenzao wa Kigeni si huwa Mnanipuuza na Kunidharau?

Haya mwambieni Kocha Mgunda amrudishe tena Mchezaji Aubin Kramo kwa yule Mganga wa Kienyeji Mkoani Tanga ambaye alimpeleka baada ya Fainali ya Mechi ya Community Shield ili akamtibu na amuague.

GENTAMYCINE nikisema namaanisha.
 
Nani huyo mpiga misumari?
 
Ulisema hili,

Ila Simba wanapigana Sana misumari

Nakumbuka case ya Kapombe na Israel mwenda

Na hii ya Kramo ilisemwa ana rogwa ,kapona juzi na kafunga ,gafla karudishwa wodini [emoji1787][emoji1787]
Endeleeni tu kunichukulia Poa GENTAMYCINE hapa JamiiForums ila najua nina Zawadi gani ya Shani / Tunu nimepewa na Mwenyezi Mungu na Watu wengi hawakubarikiwa nayo.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
 
GENTAMYCINE nikiwa nakuja na Threads hapa za Kuwaonya Viongozi wa Simba na Yanga wawachane mubashara ( live ) Wachezaji wazawa kwa Kuwaroga ( kupiga Pini ) Wenzao wa Kigeni si huwa Mnanipuuza na Kunidharau?

Haya mwambieni Kocha Mgunda amrudishe tena Mchezaji Aubin Kramo kwa yule Mganga wa Kienyeji Mkoani Tanga ambaye alimpeleka baada ya Fainali ya Mechi ya Community Shield ili akamtibu na amuague.

GENTAMYCINE nikisema namaanisha.
Kramo ameumia kabla Stars hawajarejea, so hakuna usahihi wala uhusiano
 
Ulisema hili,

Ila Simba wanapigana Sana misumari

Nakumbuka case ya Kapombe na Israel mwenda

Na hii ya Kramo ilisemwa ana rogwa ,kapona juzi na kafunga ,gafla karudishwa wodini [emoji1787][emoji1787]
Hizo ni imani potofu
Wachezaji wapewe matibabu sahihi
Wakati wa usajili wafanyiwe vipimo, wengine wanakuja na majeraha sugu
 
Back
Top Bottom