Mgagaa na Upwa JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 13,481 Reaction score 28,116 Sep 11, 2023 #21 Kolo sc ni timu linaloamini ushirikina kupita maelezo,lishawahi kupigwa faini na CAF kwa ajili ya kuamini uchawi Attachments SIMBA_WAKIFANYA_USHIRIKINA_GOLINI_KWA_AZAM(SHABIKI).mp4 2.4 MB
Kolo sc ni timu linaloamini ushirikina kupita maelezo,lishawahi kupigwa faini na CAF kwa ajili ya kuamini uchawi
Z zeuman JF-Expert Member Joined Aug 2, 2023 Posts 265 Reaction score 501 Sep 11, 2023 #22 Mgagaa na Upwa said: Kolo sc ni timu linaloamini ushirikina kupita maelezo,lishawahi kupigwa faini na CAF kwa ajili ya kuamini uchawi Click to expand... Hii ni vita ya kisaikolojia tu!! Inawaathiri wanaoamini ujinga huu basi!!
Mgagaa na Upwa said: Kolo sc ni timu linaloamini ushirikina kupita maelezo,lishawahi kupigwa faini na CAF kwa ajili ya kuamini uchawi Click to expand... Hii ni vita ya kisaikolojia tu!! Inawaathiri wanaoamini ujinga huu basi!!
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 40,905 Reaction score 86,203 Sep 12, 2023 #23 Mleta mada je inawezekana kuchemka kwa Peter Banda na Pape Sakho na sasa akramo ,ni sababu ni huyu huyu ?
Mleta mada je inawezekana kuchemka kwa Peter Banda na Pape Sakho na sasa akramo ,ni sababu ni huyu huyu ?
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Sep 12, 2023 Thread starter #24 Mtu Chake said: Mleta mada je inawezekana kuchemka kwa Peter Banda na Pape Sakho na sasa akramo ,ni sababu ni huyu huyu ? Click to expand... Mnafiki mkubwa Wewe Siku zote Unanitukana hapa JamiiForums na leo unaniuliza Swali lako hili la Kindezi na Kisimbilizi. Hebu nitokee hapa....!!
Mtu Chake said: Mleta mada je inawezekana kuchemka kwa Peter Banda na Pape Sakho na sasa akramo ,ni sababu ni huyu huyu ? Click to expand... Mnafiki mkubwa Wewe Siku zote Unanitukana hapa JamiiForums na leo unaniuliza Swali lako hili la Kindezi na Kisimbilizi. Hebu nitokee hapa....!!