BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,197
- 14,380
Tusisahau kuishi wakuu life is good LG nashukuru mungu leo kanibless kijana wake nimeokota kanuni ni kuwa fifteen percent ya hela inayoingia ni kwa ajili ya refreshment.
Sasa baada ya kuokota nikapita sehemu agiza mbuzi katoliki nusu na ugali wakati nasubiri inatayarishwa jikoni nikaagiza Serengeti zangu tatu ni mwendo wa tarumbeta huku na peruzi zangu instagram nakudouble tap picha za makalio makubwa.
Menu imefika mezani taratibu mwendo wa tonge nyama ukiwa na kibunda maisha matamu aisee sasa ndipo nikakumbuka siku tatu nyuma nilivyopitia msoto kweli nyakati ngumu hazidumu yaani geto nilikuwa na mchele na gas tu wanasema mgagaa na upwa hali wali mkavu mimi niligagaa na upwa nikala wali mkavu three consecutive days.
Kilichoniumiza ni ule muziki wa kufanya output msalani gogo lilikuwa gumu hata baada ya kujaribu mara kadhaa still gogo liligoma mpaka pale nilipoenda pharmacy kutafuta dawa ya kuendesha kwa shida sana nikafanikiwa.
Key point ukiwa na pesa maisha ni matamu acheni wakina mondi waongee shit pesa ukiwa nayo inakusahaulisha kuwa kuna shida.