Kwa nini wanawake wa siku hizi wanawahi kubana korodani katika ugomvi? Kwa nini wanapenda kutoa maneno ya kashfa kama vile: 'huniridhishi(hata kama unamridhisha), una mambo ya kike n.k?
Hiyo imetokea hapa kwetu ninapoishi, kwa mtu wangu wa karibu. Wanawake jibuni tafadhali!