Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Tukiwa tunaelekea kwenye mchezo wa mwisho na Guinea 🇬🇳 na ndio utakao toa maamuzi tutakwenda Morocco AFCON au laa nimesikitishwa na jambo moja.
Tamaa zenu za kisiasa hakika leo zinaweza kutokosesha ushindi. Kumtumia Samia kama icon ya jitihada za kwenda Morocco wakati sio kweli.
Wachezaji wanahitaji hamasa sio ya uwanja kujaa bure kama mkutano wa injili bali kuwa na watazamaji wengi lakini waliolipia hata kwa viingilio vidogo lakini kwa moyo wao.
Haya mambo ya Samia kalipia tiketi zote labda muwadanganya huko vijijini nanjilinji.
Kwanza mjue mnapomtaja yeye katika jambo linalotaka support ya Watanzania wote mnaharibu kama mlivyoharibu Ivory Coast kumkataza Lissu kusalimia timu eti kwa sababu wakuu wa CCM watakasirika kama vile Stars inamilikiwa na CCM.
TUIOMBEE STARS NA TUSIICHANGANYE NA SIASA