Mnataka Stars Ishinde na Kwenda AFCON? Ondoeni Siasa na Kampeni Zenu Mchezo Huo

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
40,455
Reaction score
73,145
Tukiwa tunaelekea kwenye mchezo wa mwisho na Guinea 🇬🇳 na ndio utakao toa maamuzi tutakwenda Morocco AFCON au laa nimesikitishwa na jambo moja.

Tamaa zenu za kisiasa hakika leo zinaweza kutokosesha ushindi. Kumtumia Samia kama icon ya jitihada za kwenda Morocco wakati sio kweli.

Wachezaji wanahitaji hamasa sio ya uwanja kujaa bure kama mkutano wa injili bali kuwa na watazamaji wengi lakini waliolipia hata kwa viingilio vidogo lakini kwa moyo wao.

Haya mambo ya Samia kalipia tiketi zote labda muwadanganya huko vijijini nanjilinji.

Kwanza mjue mnapomtaja yeye katika jambo linalotaka support ya Watanzania wote mnaharibu kama mlivyoharibu Ivory Coast kumkataza Lissu kusalimia timu eti kwa sababu wakuu wa CCM watakasirika kama vile Stars inamilikiwa na CCM.

TUIOMBEE STARS NA TUSIICHANGANYE NA SIASA
 
Muhimu tu msisahau hiyo timu inaitwa kichwa cha mwendawazimu! Na mbaya zaidi haina muendelezo mzuri wa kushinda kwenye uwanja wake wa nyumbani! Hivyo msishangae ikifungwa mbele ya hao mashabiki wake wachache wenye roho ngumu, na watakao jitokeza kuwashangilia.
 
Siasa na mpira wapi na wapi?

Mnapoingiza siasa kwenye mpira matokeo yakiwa mabaya ni yenu pia

Kama mnavyopokea yakiwa mazuri

Leo tunafungwa hatujawai shinda game yeyote kwa hamasa

Tukishinda leo nifukuzwe Tanzania
 
Noted.
 
ANZA KUFUNGASHA VITU VYAKO KABISA BADO MASAA MACHACHE SANA UIHAME HII NCHI
 
Tanganyika ni nyumbani
Tutabanana hapa hapa
 
Muhimu tu msisahau hiyo timu inaitwa kichwa cha mwendawazimu! Na mbaya zaidi haina muendelezo mzuri wa kushinda kwenye uwanja wake wa nyumbani! Hivyo msishangae ikifungwa mbele ya hao mashabiki wake wachache wenye roho ngumu, na watakao jitokeza kuwashangilia.
Na ni vema wajiulize kwa nini uwanja wa nyumbani ndio tunafanya vibaya kila siku?
Zile picha mnawapa vijana wabebe na bendera za kijani ndio sababu kuu ya anguko la kila siku.
Nakumbuka mechi moja tumeshinda sikumbuki wapi ila pale Airport waziri akawa anampa captain Samatta milioni 10 zawadi ya timu, wote walionyesha sura ya kebehi pamoja na maneno yao mazuri "mama hivi, mama vile".
Wawaache wachezaji wetu na drama zao maana wamezichoka.
 
Kwa kweli hii makitu ya kuibinafsisha timu kwenye siasa hata Mimi inanikera sana. Inafikia wakati hata ikifungwa Wala hata uchungu siufeel.
 
Tukiwa tunaelekea kwenye mchezo wa mwisho na Guinea 🇬🇳 na ndio utakao toa maamuzi tutakwenda Morocco AFCON au laa nimesikitishwa na jambo moja.

Tamaa zenu za kisiasa hakika leo zinaweza kutokosesha ushindi. Kumtumia Samia kama icon ya jitihada za kwenda Morocco wakati sio kweli.

Wachezaji wanahitaji hamasa sio ya uwanja kujaa bure kama mkutano wa injili bali kuwa na watazamaji wengi lakini waliolipia hata kwa viingilio vidogo lakini kwa moyo wao.

Haya mambo ya Samia kalipia tiketi zote labda muwadanganya huko vijijini nanjilinji.

Kwanza mjue mnapomtaja yeye katika jambo linalotaka support ya Watanzania wote mnaharibu kama mlivyoharibu Ivory Coast kumkataza Lissu kusalimia timu eti kwa sababu wakuu wa CCM watakasirika kama vile Stars inamilikiwa na CCM.

TUIOMBEE STARS NA TUSIICHANGANYE NA SIASA
Labda stars ishinde njaa. Sio kwa beki hii ya Mwamnyeto
 
Back
Top Bottom