LUKAMA
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,117
- 1,343
Nchi hii inashangaza sana haishi vituko sijui mtu akiingia badalakini akili inaenda wapi, Mungu atusaidie utashangaa CCM wanashangilia na mtu akikosoa wanamuataki na kumuita kwenye kamati ya maadili, bora kipindi cha Magu alikuwa anapambana na matajili sasa tunaanza kuona rangi zote, Mungu atuepushe tusije rudi kama kipindi cha JK mambo yalikiwa hovyo sana 😡😡