google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,623
- 13,759
Ukipata jibu nitagHivi wakuu nyie mnapata wakati mgumu kama ninaoupata mimi? Hizi IDs za kuanzia 2017 hadi leo 2019 zenye vipost chini ya buku na hazijawahi kuanzisha uzi mnaendaje nazo sambamba nyie?
Halafu zote zina miandiko mizuri mizuri viavatar vizuri na viemoj vizuri vizuri.
Hata ukisema ujaribu kutongoza unajisemea usikute ni fulani yule kaja kwa sura mpya.
swali langu nyie ni wapya au wale wale? Mliobahatika kuingia vyumbani vipi ni wale wale au hawa wapya!
HahahahahahahahahahahahahaahhahaUnaweza ukatongoza watu kumi kumbe ni mmoja,PM kumechafuka siji tena
Honestly mnatuchanganya jamani.
Kwa kweli mnafanya vibaya sana πππππππ[emoji28][emoji28][emoji28] kweli lakini inatia mashaka unaweza kumtongoza mtu kwa mara ya pili
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnazingua sana na id zenu mpya mpya
Mnazingua sana na id zenu mpya mpya
Honestly mnatuchanganya jamani.
Ndio tabia gani hizi
Hapana, ni nyie wenyewe mapepe yenu[emoji3][emoji3]Kwa kweli mnafanya vibaya sana [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Vers unamwita Mama yako mkwe 'binti'?Huwezi kua siriaz binti..
I'm sorry..I'm sorry. My badVers unamwita Mama yako mkwe 'binti'?
Shauri yenu. Sis tutafanya again
Naona aiseee, kwa mfano hii yako
πππππππππ
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4].I'm sorry..I'm sorry. My bad
Vijana sie hatuna adabu kwa wakubwa
Sasa mbona wajishusha thamani kujiita bibi kokoo.. wakati kuna Mabibi wanalipa acha tu[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4].
Ila umenifanya nikajiona kabinti kumbe ni ka "bibi kokoo".
Naona aiseee, kwa mfano hii yako
π€£π€£π€£Hebu jaribu kuingia huko pm utupe mrejesho!!
Kwa kweli hata mimi napata wakati mgumu sana hasa kwenye ule uzi wa kula tunda kimasihara!! Kuna wakati kabisaa naona huu mwandiko mbona kama wa babe wangu jamaani!!! Ila ID sio yake!!